Hosea 1:7

7 aHata hivyo nitaonyesha upendo kwa nyumba ya Yuda, nami nitawaokoa si kwa upinde, upanga au vita, wala kwa farasi na wapanda farasi, bali kwa njia ya Bwana Mwenyezi Mungu wao.”

Copyright information for SwhKC